Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

Ukaribisho

profile

Dr. Frank Damas Shega (MoIC)
Karibu Tanga RRH

Karibu sana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Hospitali hii ipo mwambao wa Bahari ya Hindi, Ina mandhari mazuri na ya kihistoria. Mategemeo yetu ni kukupatia huduma unayostahili bila kujali tabaka lolote la Dini, Kabila, Kipato, Rangi, Jinsia, Umri wa Taifa unalotoka. Mteja wetu tuta...

Read more

Huduma Zetu All

 • Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
 • Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
readmore

Idara ya Magonjwa ya ndani ndio yenye historia ndefu Zaidi tangu kipindi cha Ukoloni ambapo Mwanzilishi wa Hospitali alipata msukumo mkubwa uliotokana na vifo vingi mkoani  Tanga vilivyoletwa na moja kati ya magonjwa yananyotibiwa na Idara hii. Kwa wakati...

readmore

Huduma za Radiolojia na Ultrasound

Katika eneo hili Hospitali inatoa huduma za vipimo vya raidolojia na utrasound kama vinavyojiorodhesha katika jedwali hapo chini

readmore

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:

 • Ophthalmolojia (Macho)
 • Upasuaji wa Mifupa
 • Upasuaji Jumuishi
 • Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
 • Magonjwa ya moyo
 • Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)...
readmore

Events All

Muda wa Kuona Wagonjwa

Jumatatu-Jumapili

 • From 06:00 to 07:00
 • From 12:30 to 13:00
 • From 16:00 to 18:00

Kliniki za Leo All

health education All

Ijue Saratani ya Shingo ya Kizazi

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI  NI NINI?

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa ka...

read more
Mpango Binafsi wa kujifungua Salama

 ANDAA,ZUNGUMZA NA MWENZI WAKO,JAZA MPANGO

 • Fahamu tarehe ya kujifungua.
 • Fahamu na uhakikishe kituo cha kutolea huduma za afya au hospitali utakapojifungulia.
 • Fanya mpango wa usafiri wa kukufikisha mapema kwenye kituo cha kutolea huduma za afya u...
read more
Ijue Saratani ya Kinywa

SARATANI YA KINYWA

Saratani ya kinywa ni ile saratani ambayo inatokea katika maeneo mbalimbali ya kinywa. Hivyo saratani hii huweza kutokea kwenye maeneo kama vile:

 • Midomo
 • Fizi
 • Ulimi
 • Sehemu za ndani za kinywa
 • Kaakaa
 • Sehemu ya kinywa ili...
read more
Meno Kulegea na Kung’oka Yenyewe

Meno Kulegea Na Hata Kung’oka Yenyewe

(Periodontitis)

Ni watu wengi hasa wa kuanzia umri wa kati na kuendelea hupatwa na hali hii ya kuwa na meno yanayolegea na wanapoyachunguza hukuta meno husika hayana matundu na hali hii ya meno kulegea haiambata...

read more

Maudhui ya Wizara All

Matangazo All