HUDUMA ZA KIBINGWA
Posted on: September 15th, 2024Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:
- Ophthalmolojia (Macho)
- Upasuaji wa Mifupa
- Upasuaji Jumuishi
- Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
- Magonjwa ya moyo
- Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)
- Magonjwa ya kuambukiza mf. CTC kwa wagonjwa wa VVU, TB
- Dermatolojia (Ngozi)
- Magonjwa ya Ndani
- Wagojwa wa Dharura na Ajali
- Wagonjwa Mahututi na Tiba ya maumivu
- Magonjwa ya watoto