Timu ya uendeshaji Hospitali
Timu ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, inafanya shughuli zake za kutoa huduma kwa wananchi chini ya uangalizi na usimamizi wa Timu ya uongozi ikiongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali Dr. Naima Zakaria. Timu hiyo inaundwa na wawakilishi kutoka kila idara na vitengo mbalimbali.