Kama nina malalamiko nifanyaje?
Kama una malalamiko yoyote kuhusu Huduma zetu, Tafadhali fika ofisi ya Malalamiko iliyopo Hospitalini au unaweza kutumia njia zifuatazo ili kufikisha malalamiko yako
- Tumia link ya malalamiko inayopatikana upande wa juu kabisa wa Tovuti yetu
- Unaweza tumia mitandao ya Kijamii kufikisha malalamiko yako kwetu
- Tumia namba za simu zinazoonekana kwenye Tovuti yetu.