Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

All Clinics

Huduma za kupima uoni, miwani, na magonjwa mengineyo ya macho hupatiwa matibabu.

Mgonjwa wa macho akifanyiwa uchunguzi wa macho

Huduma za matibabu ya Ngozi

A patient being checked for  Acne at the clinic

Huduma hizi ni kwa ajili ya Wanawake wenye changamoto mbalimbali katika Afya ya kizazi.

Huduma za magonjwa ya ndani kama vile ini, mapafu, tumbo nk. hutolewa hapa.


Mgonjwa wa moyo akifanyiwa uchunguzi katika kliniki ya magonjwa ya ndani

Magonjwa ya Mifupa kama vile kuvunjika, Jipu la Mfupa, Ulemavu wa maumbile yatokanayo na Mifupa na Saratani ya Mifupa

Kliniki hii ni kwa ajili ya wale wateja wetu wanaohitajika kufanyiwa Upasuaji katika changamoto mbalimbali za kiafya.

Kliniki hii ni kwa ajili ya Uchunguzi na Maendeleo ya Afya haswa kwa wale wateja wetu wenye changamoto ya Ugonjwa wa Kisukari

Kliniki hii ni kwa ajili ya Uchunguzi wa Magojwa na changamoto mbalimbali za kiafya wanazokutana nazo watoto.

USHAURI NA UPIMAJI WA VIRUSI VYA UKIMWI 

  • Kliniki za wagonjwa wa nje (OPD’S)
  • Wodi zote za hospitali
  • Mahema yaliyoko ndani ya Hospitali
  • uunganishwaji kwenye kliniki ya huduma na tiba  kwa waliogundulika na maambukizi ya vvu

HUDUMA ZINAZOTOL...