Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

Huduma Zetu

 • Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
 • Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
readmore

Idara ya Magonjwa ya ndani ndio yenye historia ndefu Zaidi tangu kipindi cha Ukoloni ambapo Mwanzilishi wa Hospitali alipata msukumo mkubwa uliotokana na vifo vingi mkoani  Tanga vilivyoletwa na moja kati ya magonjwa yananyotibiwa na Idara hii. Kwa wakati...

readmore

Huduma za Radiolojia na Ultrasound

Katika eneo hili Hospitali inatoa huduma za vipimo vya raidolojia na utrasound kama vinavyojiorodhesha katika jedwali hapo chini

readmore

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:

 • Ophthalmolojia (Macho)
 • Upasuaji wa Mifupa
 • Upasuaji Jumuishi
 • Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
 • Magonjwa ya moyo
 • Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)...
readmore

Jengo la Idara ya Wagonjwa wa Dharura na Ajali

Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali

Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma katika miaka ya hivi karibuni katika Hospitali yetu ya Rufaa ya Mkoa. Mwaka huu 2019 ki...

readmore


Dakitari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja

readmore

Jengo la Kitengo cha Magonjwa ya Akili

HUDUMA ZINAZOTOLEWA KATIKA KITENGO CHA AFYA YA AKILI

 • Huduma za wagonjwa wa nje
 • Huduma kwa wagojwa waliolazwa wodini
 • Huduma kwa wagonjwa wa akili majumbani
 • Tiba shufaa kwa wagojwa wa akili (occupational...

readmore

Kutoa elimu kwa wagonjwa na wateja wanaohudhuria hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga.

 • Elimu ya unyonyeshaji .
 • Kumnyonyesha mtoto ndani ya saa moja baada ya kujifungua na faida zake.
 • Kunyonyesha mtoto mfulululizo miezi 6  bila kumpa kitu chochote...
readmore

I

Picha ya madakitari wakifamfanyia Upasuaji Mgonjwa

Idara ya Upasuaji ni miongoni mwa idara sita za kitabibu zinazotolewa katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga. Idara hii inafanywa na vitengo vitano ambavyo vimegawanywa kulingana na maeneo ya ubobezi/u...

readmore