Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

Dira na Dhamira

  • Dhamira 

Kutoa huduma bora, mafunzo, utafiti na elimu endelevu kwa umma/jamii kutumia vitendea kazi vilivyopo.


  • Dira yetu

Kuwa na huduma zilizo boreshwa, stahiki, zenye usawa na nafuu kwa jamii nzima hasa Mkoani Tanga.


Kauli yetu

"AFYA YAKO NI DIRA YETU"