Umetoka kupata huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo? Maoni yako ni muhimu katika kuboresha huduma tunazokupa. Tushirikishe uzoefu wako, pongezi, ushauri au chang...Read more
- Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
- Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
Idara ya Magonjwa ya ndani ndio yenye historia ndefu Zaidi tangu kipindi cha Ukoloni ambapo Mwanzilishi wa Hospitali alipata msukumo mkubwa uliotokana na vifo vingi mkoani Tanga vilivyoletwa na moja kati ya magonjwa yananyotibiwa na Idara hii. Kwa wakati...
readmoreHuduma za Radiolojia na Ultrasound
Katika eneo hili Hospitali inatoa huduma za vipimo vya raidolojia na utrasound kama vinavyojiorodhesha katika jedwali hapo chini
readmoreHospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:
- Ophthalmolojia (Macho)
- Upasuaji wa Mifupa
- Upasuaji Jumuishi
- Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
- Magonjwa ya moyo
- Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)...
-
Apr 01
- Posted on: August 7th, 2026
UTARATIBU MPYA WA UTOAJI WA HUDUMA ZA KUWATEMBELEA WAGONJWA.

- Posted on: August 7th, 2026
BOMBO YAANDIKA HISTORIA KWA KUFANYA KIPIMO CHA BRONCHOSCOPY KWA MARA YA KWANZA

- Posted on: August 6th, 2026
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

- Posted on: August 5th, 2026
TATHMINI YA MATIBABU-CLINICAL AUDIT KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TANGA-BOMBO
Jumatatu-Jumapili
- From 06:00 to 07:00
- From 12:30 to 13:00
- From 16:00 to 18:00
- KLINIKI YA MACHO From 07:30 AM to 03:30 PM
- KLINIKI YA NGOZI From 07:30 AM to 03:30 PM
- KLINIKI YA MAGONJWA YA WANAWAKE NA UZAZI From 11:00 AM to 06:30 AM
- KLINIKI YA MAGONJWA YA NDANI From 11:30 AM to 06:30 AM
- KLINIKI YA MIFUPA From 11:30 AM to 06:30 AM




