WATUMISHI WA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO WAPEWA MAFUNZO YA KUPUNGUZA FOLENI KWA WAGONJWA
Posted on: January 29th, 2024MTAALAMU kutoka Kampuni ya Nun Get kulia akisisitiza jambo mwishoni mwa wiki wakati akitoa mafunzo kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo ya matumizi ya mfumo wa kupunguza foleni kwa wagonjwa (Queuing System Management)