UCHANGIAJI WA DAMU
Posted on: February 4th, 2024Mkuu wa Idara ya Maabara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo Sinde Mtobu kulia akimkabidhi jezi ya Coastal Union Mwenyekiti wa Mtetezi wa Mama Samia wilaya ya Tanga Elias Mpay wakati wa zoezi kuchangia damu lililokuwa likiendeshwa wataalamu wa Idara ya Maabara katika Hospitali hiyo na kufanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani Jijini Tanga