MAAFISA UDHIBITI UBORA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MAFUNZONI
Posted on: January 25th, 2024Maafisa Udhibiti Ubora wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo wakifuatilia mafunzo maalumu ya mfumo wa ukusanyaji na uchakataji wa taarIfa za huduma kwa wateja yaliyowezeshwa na Wizara ya Afya kwa njia ya “Zoom” katika hospitali za Rufaa nchini