Mama wa Mapacha Watatu waliozaliwa kabla ya wakati Maimuna Hassan Omari,ameishukuru Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo kwa huduma na msaada alioupata wakati wa kujifungua watoto hao.&... Read More
News
Wananchi Mkoani Tanga wamehimizwa kujenga utaratibu wa kufika katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa ajili ya kupata huduma za Utengamano-Rehabilitation mapema, badala ya kusubiri hadi ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo imefanikiwa kubaini na kutibu kesi adimu ya kijana mwenye umri wa miaka 25 aliyekuwa akipata degedege na kupoteza fahamu, hali iliyohusishwa na maam... Read More
Zainabu Said, mkazi wa Lushoto Mkoani Tanga, ameishukuru Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo kwa huduma na matibabu yaliyomwezesha kurejea katika hali nzuri ya afya pamoja na mtoto wak... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo leo, Agosti 24, 2026, imepokea ugeni kutoka Taasisi ya Touch Health, inayoshirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuimarisha na kuboresha huduma z... Read More
Paulina Mgurwasasa, mkazi wa Tanga Mjini, ametoa shukrani zake kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo baada ya kupata matibabu na kupona hali iliyokuwa ikihatarisha maisha yake. ... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani, amepongeza Uongozi na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo kwa weledi na umahiri uliopelekea kufanikisha upasuaji wa kuo... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani, leo Agosti 20, 2026, amefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo kuwatembelea na kuwafariji majeruhi wa ajali ya gari iliyoto... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo imefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa uvimbe wenye uzito wa kilo tatu na nusu uliokuwa ndani ya kizazi cha mwanamke mwenye umri wa miaka 38, aliye... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo Leo Agosti 15,2026 imepokea vifaa muhimu vya kisasa kwa ajili ya kuimarisha huduma kwa watoto wachanga, hususan waliozaliwa kabla ya wakati. Vi... Read More



