UTARATIBU MPYA WA UTOAJI WA HUDUMA ZA KUWATEMBELEA WAGONJWA.
Posted on: August 7th, 2026Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo umetangaza utaratibu mpya wa namna ya kuwatembelea wagonjwa katika Wodi zote za Hospitali.
Utaratibu huo utaanza rasmi Oktoba Mosi 2026.
Fuatilia Video hii kwa undani zaidi.https://www.youtube.com/watch?v=IutMM5CiR7U



