TUNATAFUTA NDUGU ZAKE.
Posted on: August 14th, 2026Bwana Mayko Mayko alilazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo tangu mwezi Machi 2026.
Kwa sasa Afya yake imeimarika na tangu alazwe Hospitalini hapa hakuna ndugu au mtu yeyote aliyefika kumuona.
Kama una taarifa au unamfahamu Tafadhali Tupigie simu nambari 0737 844 242.
Taarifa zaidi angalia video hii https://youtu.be/pHr4TVCQ5uI



