Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

MATUMIZI SAHIHI YA DAWA

Posted on: September 25th, 2026

Katika kuadhimisha Siku ya Wafamasia Duniani, inayoadhimishwa Septemba 25, 2026, Mfamasia kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo, Catherine Mashaka, amekumbusha jamii kuzingatia matumizi sahihi ya dawa.

Amesisitiza umuhimu wa kufuata maelekezo ya mtaalam wa afya, ikiwemo kuzingatia muda sahihi wa kutumia dawa kwa ajili ya kuhakikisha matibabu yanafanyika ipasavyo.

Tazama video hii kusikia ujumbe wake.