MAPACHA WATATU WALIOZALIWA KABLA YA WAKATI BOMBO
Posted on: September 11th, 2026Mama wa Mapacha Watatu waliozaliwa kabla ya wakati Maimuna Hassan Omari,ameishukuru Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo kwa huduma na msaada alioupata wakati wa kujifungua watoto hao.
Angalia video hii kwa undani zaidi



