Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

HOSPITALI YA LUSHOYO YAISHUKURU BOMBO KUTOKANA NA HUDUMA ZA KIBINGWA.

Posted on: September 26th, 2026

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Lushoto Dkt. John Somi akitoa shukrani zake kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo, baada ya kumalizika kwa kambi ya madaktari Bingwa kutoka Bombo. 

Fuatilia Video hapa kupitia kiunganishi hiki https://www.facebook.com/share/v/1AbTTUV7J9/