Wasiliana nasi | FAQ | Mails | Malalamiko |

Tanga Regional Referral Hospital
(Bombo Hospital)

BOMBO,NUUR FM NA JAI ZACHANGIA DAMU.

Posted on: September 30th, 2026

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo kwa kushirikiana na Kituo cha Radio Nuur FM cha Jijini Tanga pamoja na Taasisi ya JAI, leo Septemba 30, 2026, imeendesha zoezi la uchangiaji damu katika viwanja vya Hospitali ya Bombo.

Zoezi hilo linalenga kuhamasisha jamii kujitokeza kuchangia damu ili kusaidia kuongeza upatikanaji wa damu salama kwa ajili ya wagonjwa wanaohitaji huduma za afya.

Fuatilia kiunganishi hiki

https://youtu.be/vMoUcm8gse8