AFYA MAONI
Posted on: August 11th, 2026Umetoka kupata huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo?
Maoni yako ni muhimu katika kuboresha huduma tunazokupa.
Tushirikishe uzoefu wako, pongezi, ushauri au changamoto ulizokutana nazo wakati wa kupata huduma.
Sauti yako ni sehemu ya mabadiliko. Toa maoni yako leo, tushirikiane kuboresha huduma za afya.
Fuatilia video hii ili ufahamu namna ya kutoa Maoni yako.



