Hospitali Yapokea Msaada wa Vifaa vya Watoto Njiti
Posted on: October 10th, 2019Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martin Shigela akipokea vifaa vya Hospitali maalumu kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati. Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Meneja wa Bandari Mkoa wa Tanga. Vifaa hivyo vitatumika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga na itasaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda.